Kolomije wa Dar
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 284
- 789
Ahsante sana Regional Chief Accountant ndugu Mrisho MASHAKA Gambo kwa mahesabu haya sema ni ile haraka haraka tuu hapo kwenye Sub total ilipaswa kuwa Tsh163,069,540/= na siyo Tsh 158,569,540 = kama ulivyoishusha.
Mliwapiga Kagera Rambirambi zao hapa Atown kwa Wajanja ni jino kwa jino mbona mtarudisha chenchi kwa Wafiwa.
Kuna tofauti ya Tsh 4,500,000/= nahisi ulikuwa unakimbizana na ile deadline ya siku 3 aliyokupa Mstahiki Meya wa Jiji Arusha Mh Kalisti Lazaro
Swali:
Hivi huyu Bwana Mkubwa "MASHAKA" anavyopendaga misifa ya media leo katoa taarifa ya Makusanyo ya RAMBIRAMBI na Matumizi kimya kimya bila hata press release alafu akazima simu hataki maswali ya Waandishi wa Habari na hii shughuli mwanaume kaipiga mwenyewe mwanzo mwisho hakuna cha Kamati ya Maafa, RAS,Mhasibu wala nini, yaani yeye ndiyo kila kitu [HASHTAG]#shubamiiti[/HASHTAG] kweli kuna watu hawana huruma jamani.
[HASHTAG]#WeweRCMunguAnakuona[/HASHTAG]
Kweli RC katufanyia show yakibabe
source: ukurasa wake Fb