ukawa2020
JF-Expert Member
- Apr 1, 2016
- 339
- 1,314
Angalia hii video ya bwana Polepole katibu wa itikadi na uenezi CCM. " Kama uchaguzi utakuwa Huru na haki , CCM ijiandae kukabidhi ikulu".
Ndugu pole pole kama walivyo CCM wengine, wanafahamu na wanajua. Ukichukua police ukawaweka pembeni na tume ikawa huru , saa moja asubuhi.
Video angalia mwenyewe
Ndugu pole pole kama walivyo CCM wengine, wanafahamu na wanajua. Ukichukua police ukawaweka pembeni na tume ikawa huru , saa moja asubuhi.
Video angalia mwenyewe