Katibu wa bunge la Tanzania anapatikanaje?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,763
239,432
Naomba kufahamishwa sifa za mtu anayekuwa Katibu wa bunge , na namna anavyopatikana .

Nafahamu kwamba Katibu wa bunge la Tanzania anaitwa Dr Thomas Kashillilah , lakini je ni nani aliyempeleka hapo na atahudumu kwa muda gani , au ni katibu wa milele?
 
Utakuwa unakosea sana kama unadhani kila anayeuliza hajui .

Ili tupate Bunge huru inabidi hii nafasi iondolewe na Katibu wa Bunge afanye application na afanyiwe interview na Kamati ya Uongozi, aidhinishwe na Bunge na kuapishwa na Bunge itamsaidia sana huyu Katibu Mkuu wa Bunge kuwa huru kufanya kazi zake.Na angetakiwa awe Mwanasheria pia.
 
Naomba kufahamishwa sifa za mtu anayekuwa Katibu wa bunge , na namna anavyopatikana .

Nafahamu kwamba Katibu wa bunge la Tanzania anaitwa Dr Thomas Kashillilah , lakini je ni nani aliyempeleka hapo na atahudumu kwa muda gani , au ni katibu wa milele?
NI MTEULE WA RAIS: ULITAKAJE??????
 
Naomba kufahamishwa sifa za mtu anayekuwa Katibu wa bunge , na namna anavyopatikana .

Nafahamu kwamba Katibu wa bunge la Tanzania anaitwa Dr Thomas Kashillilah , lakini je ni nani aliyempeleka hapo na atahudumu kwa muda gani , au ni katibu wa milele?

Sifa moja kuu uwe mwana ccm nadhani,,,na ni nafasi ya milele
 
Ili tupate Bunge huru inabidi hii nafasi iondolewe na Katibu wa Bunge afanye application na afanyiwe interview na Kamati ya Uongozi, aidhinishwe na Bunge na kuapishwa na Bunge itamsaidia sana huyu Katibu Mkuu wa Bunge kuwa huru kufanya kazi zake.Na angetakiwa awe Mwanasheria pia.
Safi sana huu ndio mchango ninaoutaka haswa , asante mkuu .
 
Katibu wa Bunge analifaya Bunge Kuwa Weak Kivipi? Hivi Wewe Umesoma Kanuni za Bunge na Kujua Mamlaka na Mipaka ya Katibu? Yani Watanzania bana..... kuongea tu na kulalamika bila facts.
Mfano wa karibu ni kuhakikisha mtu aliyefukuzwa cuf , Lipumba kuleta wagombea ambao wamepiganiwa na Kashilkilah kwa udi na uvumba .
 
Back
Top Bottom