Katibu wa act tafadhari naomba kadi ya act, nimechoka kuwa punda wa farao( mtei)!!

MTOTO KITAA

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
245
115
ndugu zangu kwa sasa nimechoka kuwa punda wa mtei na mbowe, kila siku naambiwa nipige kazi tu, huku nikiambiwa chama hakina pesa, huku watu wanaenda dubai, wanakopeshana, wanaruka na chopa angani, wanajilipa mishahara minono, hawana uzalendo, hawajui demokrasia. mimi mi napiga kazi wenzangu wanakula bata dubai, sasa naimba hivi, mwambie farao mie nimeokoka sirudi tena.......... kwa kherini mazombi mliobakia, endeleeni kutumika.
 
Kila mtu anatamani kuwa Chadema , ndio maana kila mmoja anajihusisha na Chadema ......
 
ndugu zangu kwa sasa nimechoka kuwa punda wa mtei na mbowe, kila siku naambiwa nipige kazi tu, huku nikiambiwa chama hakina pesa, huku watu wanaenda dubai, wanakopeshana, wanaruka na chopa angani, wanajilipa mishahara minono, hawana uzalendo, hawajui demokrasia. mimi mi napiga kazi wenzangu wanakula bata dubai, sasa naimba hivi, mwambie farao mie nimeokoka sirudi tena.......... kwa kherini mazombi mliobakia, endeleeni kutumika.

Nenda kwa JULIANA SHONZA akakufundishe mbinu za kupata hicho unachokitafuta kwani mwenzio kwa sasa ameishakipata na anacho.
 
Kazi ya CHADEMA ulipewa na mmiliki wa Jamaiiforums? Nenda mwambie aliyekupa kazi kisha ikiweza uzunguke nchi nzima kwa miguu ueleze kilichokutoa CDM. Mtumwa mkubwa wewe!
 
unachekesha kweli kama bado ulikuwa kwenye chama cha wahafidhina wanaopokea amri toka tengeru.
ndugu zangu kwa sasa nimechoka kuwa punda wa mtei na mbowe, kila siku naambiwa nipige kazi tu, huku nikiambiwa chama hakina pesa, huku watu wanaenda dubai, wanakopeshana, wanaruka na chopa angani, wanajilipa mishahara minono, hawana uzalendo, hawajui demokrasia. mimi mi napiga kazi wenzangu wanakula bata dubai, sasa naimba hivi, mwambie farao mie nimeokoka sirudi tena.......... kwa kherini mazombi mliobakia, endeleeni kutumika.
 
Alliance for Cowards Traitors (ACT) cards are available in all mosques.
 
Back
Top Bottom