PreGE2025 Katibu UVCCM Dar Athuman Egobano aongoza maandamano ya kuhamasisha vijana kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura

PreGE2025 Katibu UVCCM Dar Athuman Egobano aongoza maandamano ya kuhamasisha vijana kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,691
Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam ndugu Hussein Athuman Egobano Amepokelewa kwa shangwe na Hamasa Kubwa ndani ya Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya Hamasa Kwa Vijana wa Kisukuru na Kutembelea Vijiwe na Vikundi mbali kuhamasisha Kujiandikisha katika Daftari la Mpiga Kura Kabla ya Kuingia Katika Kikao Kazi na Viongozi wa Vijana Wa Kata na Matawi ndani ya Kata ya Kisukuru.

Katika Kikao Kazi aliwahamasisha na Kuwaeleza Viongozi Wajibu na Majukumu Yao katika Kipindi hiki cha Kuandikisha Wapiga kura.

uvcmm.png


 
Tabaka la wenye nchi,wanaweza kufanya chochote.

Halafu sisi tabaka la watawaliwa tukitaka kuandamana anatumwa Afande Awadh kuja kutupiga na kutudhalilisha.

✌️ iko siku.
 
Back
Top Bottom