N Nkondo 2 Senior Member Oct 10, 2016 180 140 Apr 30, 2017 #1 Ukifatilia majina ya wahusika wa vyeti feki karb kila mkoa utagundua wapo ambao mwajiri wao ni RAS. Je ni nafas zipi hizo ambazo RAS huajiri??
Ukifatilia majina ya wahusika wa vyeti feki karb kila mkoa utagundua wapo ambao mwajiri wao ni RAS. Je ni nafas zipi hizo ambazo RAS huajiri??