Katibu mwenezi wa CCM Bulyanhulu ajiunga CHADEMA

Katibu mwenezi wa CCM Bulyanhulu ajiunga CHADEMA

Amiri Kadau

Member
Joined
Jan 27, 2014
Posts
5
Reaction score
2
Katibu mwenezi wa CCM kata ya Bulyanhulu iliyopo wilayani Msalala mkoani Shinyanga bwana Dismas Aloyce amevua gamba leo mbele ya Kamanda Alphonce Mawazo mwenyekiti wa Mkoa wa Geita katika mkutano wa kampeni za serikali za mitaa uliofanyika katika kijiji cha Kakola.

Screenshot from 2014-12-11 08:43:43.png
 
Yaani hata waliomo wapo basi tu, issue ya Tegeta escrow itawagharimu sana na imemkalia vibaya mwenyekiti! Bora hawa walioona na kuamua mapema
 
Ccm kwa maeneo ya huko BULYANHULU hawana chao, watu hawataki hata habari za CCM.Hii SIMU yangu ingekuwa inauwezo wa ku upload picha ningezitundika hapa ili kila mtu alione hili tukio la huyu kamanda akiwa anarudisha KADI ya CCM na kuchukua kadi ya Chama cha watanzania CHADEMA.
 
Karibu sana Bora umeona mbali maana mwelekeo wa intarahamwe nimwelekeo wakuanguka
 
Amekuwa sasa mwacheni ache aje akulie wokovu wa kukomboa taifa
 
Yaani hata waliomo wapo basi tu, issue ya Tegeta escrow itawagharimu sana na imemkalia vibaya mwenyekiti! Bora hawa walioona na kuamua mapema

Baada ya kujinadi kwa Escrow tupewe mipango ya maendeleo ya chadema ni ipi?
 
amiri kadau usichokijua kuhusu katibu mwenezi ni kuwa siku nyingi alikuwa mguu ndani mguu nje na alikuwa pia akijaribu kuwarubuni wanaCCM wajiunge Chadema. Wengi tulimkatalia na alipoona tutamjadili kwenye vikao na kumfukuza ameona awahi yeye. Lakini baada ya muda mfupi tutatoa taarifa kumuanika maovu yake halafu mtajipima kama anawafaa au hapana
Katibu mwenezi wa CCM kata ya Bulyanhulu iliyopo wilayani Msalala mkoani Shinyanga bwana Dismas Aloyce amevua gamba leo mbele ya Kamanda Alphonce Mawazo mwenyekiti wa Mkoa wa Geita katika mkutano wa kampeni za serikali za mitaa uliofanyika katika kijiji cha Kakola.

View attachment 209872
 
Back
Top Bottom