MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Katibu mwenezi wa act wazalendo mkoani kigoma amekihama chama chake na kujiunga na chadema amesema chama hicho hakina lengo la kuleta ukombozi kwa watanzania ila kimekuwa kibaraka kwa ccm toka kianzishwe amesema chadema pekee ndoo chama chenye lengo la kulete maendeleo kwa wananchi.