Katibu Mwenezi na Itikadi (CCM), Ndugu Shaka tumekuelewa

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
May 13, 2018
439
742
Dakika 5 tu za salaam pale kwenye uzinduzi wa kampeni jimbo la Mhambwe umetuthibitishia kuwa Mwenyekiti wetu wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan hakufanya makosa kukupendekeza na hatimaye kuthibitishwa kwenye nafasi hiyo na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa.

Nilihamasika pale ulipomthibitishia waziri mkuu Mhe Kassim Majaliwa Kassim kuwa CCM itashinda majimbo yote ya Muhambwe na Buhigwe na itashinda kwa haki, itashinda kwa amani na itashinda kwa demokrasia....sababu ni umoja na mshikamano wa wanaccm na mapenzi ya Mwenyezi Mungu.

Hongera sana....kazi iendelee!!!
 
UPUUZI MTUPU!
 
Lakini si kashfa tu ambazo hazina ithbaati ?
Kiongozi haitakiwi kuwa na kashfa mbaya yoyote
Baba wa taifa hayati j k nyerere alishasema hayo kiongozi anatakiwa awe mtu msafi.
Hii kashfa nakumbuka ilishawahi kuthibitishwa morogoro jamaa akaondolewa huko
 
Hivi aliyesimamishwa kupambana na mgombea wa CCM ni nani huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…