Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ni mmoja wa madaktari wanaomfanyia upasuaji Tundu Lissu

Huu nauita upumbavu, tena upumbavuuuuuuu, nna hasira hakyamungu, ni aibuuuuu, mtu tangu juzi anaongea, na akataja na namba za gari zilizokuwa zinamgmfuatilia, Leo mnajifanya kushtuka!!!! Kweli mnajifanya kushtuka, huu sio ujinga? Bongolanda tunaelekea wapi lkn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Channel ten habari ya saa moja wamesema hilo hebu watafute kwenye mtandao wa itaipata hiyo taarifa ya habari mwishoni kabisa
...Why unalazimisha sanaa hiyo chanel ten? Sasa muda huu nasikiliza BBC via star TV wao wamesema tayari yuko Nairobi, msikilize Dayo Yusuph.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huyo katibu mkuu toka mwaka huu uanze amefanya oparesheni ngapi?waziri amesema atawasaka hao watu hadi wapatikane,hili ni jambo jema.Vipi wale waliomteka Ben saanane,vipi kuhusu yule aliyemnyooshea jamaa bastola?vipi kuhusu taarifa aliyoitoa lisu kuwa anafatiliwa?vipi kuhusu taarifa ya vijana wa bavicha juu ya kutishiwa lisu? Sisi ni binadamu,tunatofautiana fikra.Lakini sayansi ya akili inatufundisha tuwe tunadili na chanzo na so kudili na matokeo.Asante.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Jamani,ndugai kwanini ktk tukio la Lisu ? Yeye ndiye anayeingiza policcm bungeni kupiga,kumakata na kuvua mbunge wa kike nguo ! Leo inakuaje ndugai ndugai wa nini na ndio manjo wa ngoma hii tuionayo sasa ? Kama alithubutu kutaka kumuua ccm mwenzie na jifimbo /jigongo kwenye kampeni,atakua na huruma na Lisu !mchawi mpe mtoto akulelee,ila sio mchawi huyu !. Hapo wanaosimamiwa na Lisu mahakamani watafungwa haraka kabla hajapona aanze kazi,wakuuwawa magerezani watauwawa ili tu linalo mhusu Lisu lolote liharibike bila kuchelewa !. mbinu za ccm ni nyingi mno za kudhuru wananchi walio kinyume nao.Mungu kupitia wanasheria wa Kenya,saidia hili jambo,lienee duniani kwa haraka ili dunia iweke akili sawa hata kwenye kapeni za uchaguzi na uchaguzi kwa ujumla Zanzibar na bara waangalie mauaji,mateso,na vikwazo vyote vitakavyo andaliwa na ccm dhidi ya wapinzani,ili ccm ishinde.aibu hii na dhambi ya uuwaji,na damu za wananchi wote, visiondoke ktk miimo ya milango ya wana ccm maisha yao yote,Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
ndo wanavyo sema(ga), mtu alisha lalamika kufatiliwa kila siku ila hakuna hatua zilizochukuliwa na mamlaka husika

leo anapigwa risasi wanajifanya kushtuka, siku 2-3 wanasahau (sio bahati mbaya)
Ulitaka serikali wafanyeje?? Kwa nini Acacia hawakumpa ulinzi mtu anaye injinia mambo yao against taifa la Tanzania?? Au sababu wanamlipa?? Hapa wa kulaumiwa ni Acacia
 
Back
Top Bottom