Hali ya mambo ndani ya NCCR-Mageuzi imemgeukia Katibu Mkuu wa chama hicho Martha Chiomba, baada ya Jumuiya ya Vijana na baadhi ya Vigogo wa chama hicho kuaziamia kumg'oa.
Taarifa za hivi punde ni kwamba tayari hoja ya kumg'oa imewasilishwa katika viunga vya Ilala Makao Makuu ya NCCR-Mageuzi.