Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Mashinji ni jembe, Muda utanena!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Huyu ni katibu mkuu msomi mwelewa, mtulivu na mpiganaji. Ni katibu mkuu msomi kupita hata viongozi wote wa CCM, ni msomi kuliko Kinana, Sendeka, Sofia Simba, Sadifa, Nnape aliyekua mwenezi, ni msomi kuliko hata Mwenyekiti wao wa CCM taifa!

Cha ajabu wanaolalamika eti kutishwa na ukimya wa Dr Mashini ni makada au magamba sugu ya ccm.Dr Mashinji ni moto wa kuotea mbali atawanyoa kweli kweli, si mtu wa mchezo hata kidogo! Tuliocheza nae toka utotoni tunamjua vema na sio magamba yanayojiropokea tu humu.

Ni suala la muda tu,ni muda mfupi tu tangu ameingia ofisini kelele za nini kwa magamba? Wanawashwa nini? Hata Dr Slaa anayesifiwa kwa sasa na magamba alishika wadhifa huo akitokea bungeni tofauti na Dr Mashinji,Style zao za leadership haziwezi kua sawa kamwe! Haya magamba ni ya kupuuza tu Chief secretary aachwe achape kazi.
 
Kwani ukiandika hivi ndo unaficha udhaifu wake? Mbona watu makini wote wanaonekana kwa hadharani bila kuwatetea. Wapo wengi na wanajulikana kwa majina yao.

Lile garasa kweli, yaani jokeli. Mwisho siasa etu zile umefika ukingoni naona.

Back
Top Bottom