Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk Mashinji jiuzulu kutokana na bandiko hili la Malisa Godlisten

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,895
20,392
Anaandika Comred Malisa GJ

Pamoja na madhaifu mengi ya CCM na serikali yake lakini yapo machache ya kujifunza. Mojawapo ni utaratibu "mzuri" wa CCM ama viongozi wao wa kuandaa vijana. Viongozi wakongwe waliopo wanajua ipo siku hawatakuwepo, hivyo huandaa mazingira ya kugroom vijana na kuwafanyia mentorship hadi kuja kuwa viongozi wakubwa.

Vijana kama Anthony Mavunde, Nchimbi, Happi, Shigela, Masauni, Anthony Mtaka, Elibariki Kingu, na wengine wengi ni miongoni mwa vijana ambao CCM (makini) inaweza kujivunia. Ila hawakutokea tu from nowhere, waliwagroom na kuwaandaa kuwa viongozi. Waliwatengeneza tangu wangali wadogo. They were prepared and trained to lead. Na wamekuwa viongozi wazuri sana maana waliandaliwa. And possibly wataendelea kuwa viongozi wazuri in years ahead.

Chama cha siasa chenye maono, vission, focus lazima kiwe na utaratibu wa kugroom vijana. Viongozi waliopo sasa hawawezi kudumu milele. Lazima waandae wengine. The must prepare, coach, train, and mentor their successors. CCM ina utaratibu wa kudumu wa kuandaa viongozi. Vyama vingine tunaweza kuiga utaratibu huu, utatusaidia.

Enzi za Dr.Slaa CHADEMA iliwagroom kina Mdee, Mnyika, Zitto tangu wakiwa makinda/vijana wadogo mno wanafunzi wa chuo kikuu. Walitafutwa, wakafundishwa, wakatengenezwa kuwa viongozi kwa kufanyiwa mentorship. Na wamekua viongozi wazuri hata sasa.

Lakini je kwa sasa tumewaandaa kina nani? Baada ya CHADEMA ya kina Mbowe, NCCR ya kina Mbatia, ACT ya kina Zitto na CUF ya kina Mtatiro na Maalim Seif who will take lead? Chadema, NCCR, ACT, CUF etc vimewaandaaje vijana kutake lead baada ya viongozi waliopo kupumzika?

Vyama hivi vimewahi kufikiria miaka 10, 20 au 30 ijayo ni kina nani wataongoza vyama hivyo? Kama hawajaandaa vijana kwa sasa ni ngumu kuendelea kubaki kuwa vyama makini. Viongozi huandaliwa, hawatokei tu from nowhere. Au tunasubiri viongozi wafukuzwe CCM ndio tuje kuwapa nafasi upinzani? I dont buy this idea. Jiulize ni viongozi wangapi waliofukuzwa upinzani wakaenda kupewa uongozi CCM?

Lazima tujifunze kutengeneza na kuandaa viongozi wetu wenyewe. Tusisubiri mtu atoke CCM aje upinzani halafu aonekane shujaa kuliko kijana aliyezaliwa, kulelewa na kukua katika misingi ya upinzani tangu utoto wake. Mtu akihama CCM leo kwenda upinzani, as long as ni maarufu, ataonekana "kamanda" kuliko makamanda waliopigana kwa jasho na damu kwa miaka mingi ndani ya chama. Hii si sawa.!

Ni kwa mantiki hiyo ningependa kuona vijana wakiandaliwa kwa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama. Ni muhimu kuwajaribu kwa kuwapa fursa ya kuongoza katika nafasi mbalimbali ili kupima uwezo wao. Nyerere aliandaa vijana. Mmoja wapo mi Salum Ahmed Salum.

Alimjaribu Salum kwa kumteua kuwa Balozi mdogo wa Tanzania nchini Misri akiwa na miaka 21 tu. Miaka 21 ni umri ambao vijana wengi bado wapo sekondari. Lakini Salum aliaminiwa na kupewa ubalozi. Inadhaniwa ndiye balozi mdogo zaidi kupata kutokea nchini. Alifanya vizuri hadi baadae kuja kuwa Katibu Mkuu wa OAU.

Je sisi tumewajaribu vijana katika nafasi za uongozi? Kwenye viti maalumu CCM wana viti mahususi kwa vijana (UVCCM). Mtu anakua mbunge kupitia UVCCM. Yani UVCCM ndio wanapokea maombi, wanakaa na kujadili na kuamua katika nafasi walizopewa nani na nani wanafaaa kuwa wabunge. BAVICHA, JUVICUF, Vijana NCCR, na vijana ACT nao wanapaswa kuwa na uhuru wa namna hii. Wapeni vijana uhuru na "mandate" ya kuamua mambo yao wenyewe.

Kama mnashindwa kuwaamini vijana katika mambo madogo kama haya, itakuaje kwa mambo makubwa?

Ni kwa mantiki hiyo ningependa pia kuona sura za vijana zikishamiri kwenye nafasi za ubunge wa Afrika Mashariki. Wapo wengi waliochukua fomu, siamini kama wote ni wabovu. Lazima wapo wazuri na wenye weledi. Japo nafasi ni chache lakini mkitoa hata moja kwa vijana wenu mtakua mmefanya jambo lenye tija kwa vyama vyenu na kwa taifa.

Najua viongozi wengi wa upinzani watasoma ujumbe huu wakiwa wamekunja sura lakini ni ujumbe muhimu sana. Chungu lakini dawa. Msipuuze.

Malisa GJ
 
Tundu Lisu ndiyo mzigo chadema na huyu ndiyo anayeharibu chadema siku moja watakuja kulijua hili lkn watakuwa wamekwishachelewa, sasa hivi wanatumia na kupoteza muda mwingi kama Chama cha Siasa ku-practice career ya Tundu Lisu kila siku Mahakamani badala ya kujijenga huko kwa Wananchi, sijui wanafikri Watanzania wote ni Wanasheria? Au chadema mnafikiri 2020 TLS watakupiga kura ya Uraisi na Ubunge?
 
Kasema ukweli 100%.ccm hii ya sasa imechoka lakini upinzani wa Mbowe,Lowasa,Mbatia umechoka zaidi,mbowe kashasema atastaafu siasa akishindwa 2020.Na aliahidi hivyo tena 2015 angestaafu siasa na hakustaafu sasa sijui akishindwa kwa kuibiwa kura 2020 kama anavyodai upinzani uliibiwa 2015 sijui atastaafu.Au ndio kujenga mazingira awe mwenyekiti tena 2019.

Nachomlaumu Mwalimu JKN nikutuachia hii kitaba anayo tengeneza Miungu watu.Ni sawa na ninavyowalamu kutoa kipengele cha ukomo wa uongozi.
 
Hayo yote unayoshinikiza ungeyasema ccm!
Yaani makonda wa kumtuma mtu wake akamtolwe bastola nape!

Ccm imekuwa vuvuzela la makonda hakuna wa kuzungumza makonda na bwana yule wakiamua
 
Bashite aliandaliwa na nani?

Kama vetting ni tatizo ndio ije kuandaa vijana!!

Hiyo ni CCM ya mwalimu Nyerere na si hii ya sasa.
Mkuu, hasira zote za nini? Mwenzako Malisa kaeleza hisia zake. Amekiangalia chama chake na kubaini hakina mwelekeo kwa kipindi cha miaka 10, 20 na 30 ijayo. Malisa ni mfano wa vijana wachache wanaothubutu kusema ukweli. Najua na wewe umekunja ndita wakati unasoma bandiko hili
 
Back
Top Bottom