Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru Ally atinga UDSM

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Katibu Mkuu Mteule wa CCM, Dk Bashiru Ali amewasili katika viunga vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) alikokuwa akifundisha.

Dk Bashiru ameonekana leo Mei 30, katika chuo hicho, akisalimiana na kupongezwa na wahadhiri wenzake pamoja na wanafunzi, ikiwa ni siku moja baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo.

Dk Bashiru ametuliwa jana na Halmashauri Kuu ya CCM, kushika nafasi hiyo, akimrithi Abdulahman Kinana.

Awali baada ya kiongozi huyo kufika chuoni aliingia katika jengo la Utawala na baadaye kuelekea Idara ya Sayansi ya Sanaa na Utawala alikokuwa akifanyia kazi.

Akiwa kwenye idara hiyo, Dk Bashiru alizungumza na Mkuu wa Idara hiyo, Rasul Ahmed Minja ambaye pia alimlaki kwa shangwe na kumpongeza kwa uteuzi.
 
Hongera zake,atukumbuke kina sie Ba-PSPA turudishe weredi, week tatu zilizopita nilimsikia Spika JMT akijinasibu mtaalamu wa kemia nikajiuliza anaweza vipi kumudu majukumu ya kibunge lack of professionalism
 
Katibu Mkuu Mteule wa CCM, Dk Bashiru Ali amewasili katika viunga vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) alikokuwa akifundisha.

Dk Bashiru ameonekana leo Mei 30, katika chuo hicho, akisalimiana na kupongezwa na wahadhiri wenzake pamoja na wanafunzi, ikiwa ni siku moja baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo.

Dk Bashiru ametuliwa jana na Halmashauri Kuu ya CCM, kushika nafasi hiyo, akimrithi Abdulahman Kinana.
Awali baada ya kiongozi huyo kufika chuoni aliingia katika jengo la Utawala na baadaye kuelekea Idara ya Sayansi ya Sanaa na Utawala alikokuwa akifanyia kazi.

Akiwa kwenye idara hiyo, Dk Bashiru alizungumza na Mkuu wa Idara hiyo, Rasul Ahmed Minja ambaye pia alimlaki kwa shangwe na kumpongeza kwa uteuzi.
Hii nayo habari?baadae utaleta habar atinga msikitini
 
Dr. Bashiru Ally hana uwezo wowote wa kukiongoza chama ambacho kimejitanabaisha kuwa CHAMA CHA MAGAIDI -CCM badala ya Chama cha Mapinduzi! Kinana mwenyewe alishindwa kuendana na speed hii ovu ya KUTEKA, KUTESA NA KUUA Wananchi wasiyo na hatia!

Hata CCM wajinyumbuisheje, ssi wanainch hatuwezi kusahau vitendo vyao vya utekaji, utesaji na uuwaji, Ardhi ya TZ ilishajichora kuweka record hii sawa, ni kumbukumbu isiyo futika milele!
Hatutakisahau CHAMA HIKI CHA MAGAIDI TANZANIA
 
Aisee mbona majina ya ki ustaadh tu? Walipageuza madrasa hapo ud eeh!
 
Dr. Bashiru Ally hana uwezo wowote wa kukiongoza chama ambacho kimejitanabaisha kuwa CHAMA CHA MAGAIDI -CCM badala ya Chama cha Mapinduzi! Kinana mwenyewe alishindwa kuendana na speed hii ovu ya KUTEKA, KUTESA NA KUUA Wananchi wasiyo na hatia!

Hata CCM wajinyumbuisheje, ssi wanainch hatuwezi kusahau vitendo vyao vya utekaji, utesaji na uuwaji, Ardhi ya TZ ilishajichora kuweka record hii sawa, ni kumbukumbu isiyo futika milele!
Hatutakisahau CHAMA HIKI CHA MAGAIDI TANZANIA
Mkuu umesema kweli tupu.
 
Maskini Dr bana kabila kaskazini lakini fivyeo hapati, nadhani domo lilizidi
 
Dr. Bashiru Ally hana uwezo wowote wa kukiongoza chama ambacho kimejitanabaisha kuwa CHAMA CHA MAGAIDI -CCM badala ya Chama cha Mapinduzi! Kinana mwenyewe alishindwa kuendana na speed hii ovu ya KUTEKA, KUTESA NA KUUA Wananchi wasiyo na hatia!

Hata CCM wajinyumbuisheje, ssi wanainch hatuwezi kusahau vitendo vyao vya utekaji, utesaji na uuwaji, Ardhi ya TZ ilishajichora kuweka record hii sawa, ni kumbukumbu isiyo futika milele!
Hatutakisahau CHAMA HIKI CHA MAGAIDI TANZANIA
wewe.rekodi isiyofutika milele ni hii ya CAG kugundua ufisadi wa.mabilioni.ndani ya chama hiki kichanga cha chadema....ni aibu..sasa kama hivi hakijaingia madarakani kinafisadi mabilioni , je kikiingia madarakani kitakuwa na uwezo wa kufisadi matrilioni na zaidi nadhani..hatari sana wananchi tusije fanya makosa
 
Back
Top Bottom