JOHN MADIBA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2011
- 251
- 155
kwani Jairo kafukuzwa kazi? mhh!!!! si PM alipewa maagizo mapya na sasa Jairo kapewa likizo yenye malipo kupisha uchunguzi?
wizara hii imeanza kulaniwa toka Vasco da Gama II alipokuwa waziri. Ndo akaanza mikataba mibovu ya IPTL
Kweli ww ni risecha, TANO mkuuJamani tuwe tunapitia sredi zilizopita kabla ya kupost..
Jairo ana likizo ya kula na kuna huku akiingiza siku akisubiri tu kuambiwa kuwa mzee hayo yote ulisingiziwa rudi ofisini kwako.kwani Jairo kafukuzwa kazi? mhh!!!! si PM alipewa maagizo mapya na sasa Jairo kapewa likizo yenye malipo kupisha uchunguzi?
Jairo ana likizo ya kula na kunywa huku akiingiza siku akisubiri tu kuambiwa kuwa mzee hayo yote ulisingiziwa rudi ofisini kwako.kwani Jairo kafukuzwa kazi? mhh!!!! si PM alipewa maagizo mapya na sasa Jairo kapewa likizo yenye malipo kupisha uchunguzi?
Best ulikuwa umelala nini? Ndio unazinduka na kukuta barua juu ya meza.. wenzako wameitafuna kisha kuicheua na sasa imebaki kuwa kinyesiYangu leo machache. Ila kwa wale mnaotaka ushahidi wa ujambazi au ufisadi wa Wizara ya Nishati. Ushahidi huu hapa.Nawapa ili kama uchunguzi utamrudisha Jairo kazini muone jinsi CCM ilivyokuwa compromised. Kama hiyo attachment ujionee mwenyewe.View attachment 34243