Delegate
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 331
- 201
Kamanda naona umeanza kutoka nje ya responsibilities. Jana umesema utapambana na matatizo yaliyo ndani ya chama, leo unasema utagombea Urais, hujui wajibu waki ndani ya chama?
Nakushauri achana na tamaa, jitahidi kuendeleza chama alipoachia Dr Slaa. Hizo tamaa zenu ndio zinaturusha nyuma, achana na ndoto za urais kamanda una kazi kubwa sana na usipokuwa makini humalizi mwaka kwenye hiyo position!