Katibu mkuu CHADEMA Dr Mashinji ziarani Uingereza

Katibu mkuu CHADEMA Dr Mashinji ziarani Uingereza

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,699
Reaction score
2,262
mashinji.jpg
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji (kulia) akiwa kwenye mazungumzo mafupi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza,Boris Johnson kuhusu hali ya siasa Tanzania, walipokutana kwenye Mkutano Mkuu wa Chama tawala Uingereza Conservative, uliofanyika 1/10/2017 London.
 
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Dkt.vicent mashinji (kulia) akiwa kwenye mazungumzo mafupi na waziri wa mambo ya nje ya uingereza , Boris johnson ( kushoto) kuhusu hali ya siasa nchi Tanzania walipokutana katika mkutano mkuu wa chama tawala nchini humo cha conservative uliofanyika (Jana),oktoba 1, mwaka huu jijini London.
b036fc900953efc95856290afda930f1.jpg
 
Pesa za matibabu ya Lissu ndio zinatafunwa hizo. Wegine wamekimbilia Dar eti kuifuata Takukuru kana kwamba Arusha hakuna ofisi. Watu wanatumia Fursa,
Sijui kama Lissu atapona, maana pesa za matibabu zinatumika visivyo.
 
aangalie tu. MAANA hao wazungu hawajawahi kuwa na urafiki na mtu mweusi wenye nia njema na dhahiri.

Wao wanafikiria maendeleo zaidi na kuwajali watu wao sasa kama mtu hata kulipa mishahara watumishi wake ni mtata anakutakia jema huyo? Hana tofauti na mchawi.
 
Pesa za matibabu ya Lissu ndio zinatafunwa hizo. Wegine wamekimbilia Dar eti kuifuata Takukuru kana kwamba Arusha hakuna ofisi. Watu wanatumia Fursa,
Sijui kama Lissu atapona, maana pesa za matibabu zinatumika visivyo.
Fedha ya viwanda,ajira na mishahara ya watumishi waliozuiwa kupanda madaraja haikupi shida bali ya Lissu ambayo hata hujachangia hata sarafu ya sh.50????!!!
 
Naona kaenda kuchukua utaalamu kwa mbobezi wa mapinduzi ya wakubwa zake. Kwamba sasa Chadema hawamtaki M/kiti na njia nikutumia mentors wao namna ya kutimuana kwenye madaraka. Soma kwa kina Boris anavyomsumbua Teresa.
=====
Boris Johnson should be sacked from the cabinet for attempting to undermine and overthrow Prime Minister Theresa May, according to Tory MPs.

Boris Johnson is to launch a think tank that will circumvent his boss Theresa May’s government to strike juicy trade deals with the wider world post-Brexit.
In another sign of a cabinet split over the future of Britain once it withdraws from the EU, the foreign secretary is to launch a think tank later on Wednesday that will likely undermine the government’s softer Brexit stance.

Boris Johnson launches ‘hard Brexit’ think tank... in another challenge to Theresa May’s authority

Boris for the boot? Senior Tories call for Brexit-meddling minister to be sacked
 
Hizi hela mbona zinawauma sana ?? Mchawi na mauwaji utawajua tu hawajifichi ! Nyie mmekula mpaka hela walizochangishwa wabunge,kwa matibabu ya Lisu,ili afe.sasa hajafa mnasakama Chadema,na hela za mgonjwa wao !! Jibuni tuhuma za myeti ,au hela za chadema tena mnataka mumpe myeti aongeze madiwani wengine ? Manake wote mmekimbia Uzi wa video za myeti,mnajazana kwa Mashinji,na uongo wa hela za Lisu !!! Hiyo tu ndo akili na majungu mlobaki nayo ccm ! Kale kakitu ka Nasari najua ndo kanawapa wazimu,kwakua Mashinji atawaonyesha wazungu mipango ya myeti na magufuli,dhidi ya upinzani,na siasa chafu za ccm nchini,sasa mnaropoka kila lililokaribu na midomo yenu ili kuhamisha watu,toka kwa myeti na magufuli ! Hatuhami tuna nyie tu mpaka na kengine katuonyeshe video ya risasi alizopigwa Lisu,wapigaji na Nissan nyeupe.kisha tukahamishie kakitu ketu,kwa Ben Saa,8. Mpaka kilakitu kiwe hadharani.lenu hilo hachomoki mtu hapo !
 
Pesa za matibabu ya Lissu ndio zinatafunwa hizo. Wegine wamekimbilia Dar eti kuifuata Takukuru kana kwamba Arusha hakuna ofisi. Watu wanatumia Fursa,
Sijui kama Lissu atapona, maana pesa za matibabu zinatumika visivyo.
tupe source ya taarifa yako Mkuu
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji (kulia) akiwa kwenye mazungumzo mafupi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza,Boris Johnson kuhusu hali ya siasa Tanzania, walipokutana kwenye Mkutano Mkuu wa Chama tawala Uingereza Conservative, uliofanyika 1/10/2017 London.
Mungu ibariki Chadema .
 
tupe source ya taarifa yako Mkuu
Njoo ofisini kwangu mkuu, nitakupa. mimi sikurupuki kama akina Lemma kuuza sura tu. Sina haja ya kutoa habari kwa mumma ambayo binafsi hainisaidii chochote maana sitafuti kiki za kisiasa.
 
Back
Top Bottom