Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 856
- 1,651
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Véron Mosengo-Omba amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuhudumu kwa zaidi ya miaka 30. Katika taarifa yake kwa umma amesema amechukua uamuzi huo ili kujikita katika miradi binafsi na kwamba anaondoka na kuiacha CAF ikiwa imara kuliko wakati wowote.
Aidha, Veron Mossengo-Omba anajiuzulu wadhifa wake wa Katibu Mkuu wa CAF, nafasi ambayo itakaimiwa na Samson Adamu. Hata hivyo, kuna taarifa zinazokinzana kuhusu kuondoka kwake; baadhi ya taarifa zinasema anastaafu, huku zingine zikidai anaenda kuwania uongozi kwenye shirikisho la soka nchini DR Congo. Kuondoka kwake kunakuja kufuatia tuhuma za awali dhidi yake za kutengeneza mazingira magumu ya kazi. Vilevile, anaondoka katika kipindi kibaya sana kwa CAF, kwani shirikisho hilo kwa sasa linakabiliwa na maswali mazito kuhusu uadilifu wake pamoja na shinikizo la kimataifa kufuatia uamuzi wao wa kuivua Senegal taji lake la Mataifa ya Afrika.

================= For English Audience ==================
Mossengo-Omba said he was retiring but his departure comes amid a crisis of confidence in the organisation's leadership, with a growing fallout over the decision to strip Senegal of the Africa Cup of Nations title and calls for an investigation into alleged corruption at African football's governing body.
There has been a swell of recent criticism of his staying on as general secretary well past the organisation's mandatory retirement age of 63, largely on social media but also from members of CAF's executive committee.
"After over 30 years of an international professional career dedicated to promoting an ideal form of football that brings people together, educates, and creates opportunities for hope, I have decided to step down from my position as Secretary General of CAF to devote myself to more personal projects," Mossengo-Omba said in a statement.
"Now that I have been able to dispel the suspicions that some people have gone to great lengths to cast on me, I can retire with peace of mind and without constraint, leaving the CAF more prosperous than ever.
SOURCE: REUTTERS