Katibu EAC ataka wananchi wamuunge mkono Magufuli

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) aliyemaliza muda wake, Dk Richard Sezibera amewataka wananchi kuunga mkono jitihada za kupambana na rushwa zinazofanywa na viongozi wa jumuiya hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wake wa sasa, Rais John Magufuli.

Sezibera aliyemaliza muda wake hivi karibuni na nafasi yake kuchukuliwa na Liberat Mfumukeko wa Burundi, aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa nne wa Mwaka wa jumuiya hiyo unaofanyika Hoteli ya Hyatt, Dar es Salaam.

Alisema ili tatizo la rushwa limalizike, hatua za dhati za kuwaunga mkono na kufichua wala rushwa zinazofanywa na viongozi wakiongozwa na Rais Magufuli anayepambana bila woga kukabili watendaji wanaotumia vibaya madaraka na fedha za umma.

Aliongeza kuwa, kuna umuhimu wa kila mwananchi wa jumuiya kukataa tabia ya rushwa na ufisadi ili kuwaunga mkono viongozi walioonesha uthubutu kukataa vitendo vya rushwa.

Katikati ya wiki hii, akiwa mjini Arusha kuongoza kikao cha wakuu wa umoja huo, Rais Magufuli alieleza jinsi rushwa inavyorudisha nyuma maendeleo na kuwataka viongozi wengine wa jumuiya hiyo kuungana `kutumbua majipu’ ya watendaji wanaojinufaisha kutokana na rasilimali za umma, badala ya kuwatumikia wananchi ambao wengi wao ni masikini.

Mkutano huo umejumuisha makundi tofauti yakiwemo ya sekta binafsi, lengo likiwa kuzungumzia mbalimbali yanayoihusu jumuiya.
 
Mmmmh huyu jamaa anataka kutudumbukiza kwenye tanuru la moto. Sisi tuna nguvu gani wakati rais kikatiba ndo kila kitu. Alafu hajui kama kuna watu wanatumia nguvu ya dora kuwaadhibu wanaounga mkono juhudi hizo. Mfano mdogo ni Polisi kutumika kuwataka wamiliki wa jamii forum kutoa nyeti za wanachama wake wanaoleta uzi wa kufichua uovu
 
Hana habari kuwa watanzania tuna mambo mengi ya kufanya?hana haja ya kuhitaji kuungwa mkono maana kama aligombea na kutangazwa mshindi basi afanye kazi bila ya kutaka msaada mara wa kuombewa mara kuungwa mkono
 
Mmmmh huyu jamaa anataka kutudumbukiza kwenye tanuru la moto. Sisi tuna nguvu gani wakati rais kikatiba ndo kila kitu. Alafu hajui kama kuna watu wanatumia nguvu ya dora kuwaadhibu wanaounga mkono juhudi hizo. Mfano mdogo ni Polisi kutumika kuwataka wamiliki wa jamii forum kutoa nyeti za wanachama wake wanaoleta uzi wa kufichua uovu
Umeonaeeeeee? Yaani watawala hawa ni shiida sana
 
Back
Top Bottom