Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,357
Leo ktk mkutano wa chadema kijiji kipya cha Nyabikurungu kata mpya ya Rukukuraijo wilaya ya Kyerwa jimbo la Kyerwa chadema imevuna wanachama 126 kutoka ccm. Hili limetokea kutokana na ubabe wa DIwani fisadi kufanya upendeleo ktk kura zao za maoni.

Hao watakuwa wahamiaji haramu.
Wapinzani hawawezi kupata hata theluthi ya mitaa kote nchiniHilo litaendelea,pamoja na kuwapiga picha wapigakura zao za maoni,huku kongowe Dsm mgombea waliyempitisha amehamia leo chadema,
na bado kitaeleweka tu
Upinzani ni kipindupindu hasa chadema/ukawaCCM = EBOLA.. Iepukwe!
lumumba at work..vp tembo wamebaki wangapi?Upinzani ni kipindupindu hasa chadema/ukawa
Naona unakufa kiumeCcm haiwezi kutetereka kwa kuondokewa na dagaa