Katibu CCM na wafuasi wake 126 wahamia CHADEMA

Taarifa zaidi zinasema mkutano mwingine uliofanyika kijiji kigingine cha Rubuga kata hiyo jimbo hilo hilo mambo yalikuwa yale yale. Ikumbukwe pia harakati za chadema ktk jimbo hilo ambalo Mh Mdee amelitembelea hivi karibuni mwamko wa mageuzi ya kisiasa uko juu sana. CCM na vigogo wake wamehaha kuzima harakati hizo kwa kutumia jeshi la polisi hasa kwa kuzuia mikutano maeneo ya Isingiro na Nkwenda. Huakika nilionao jimbo halitakuwa mikononi mwa ccm 2015; wajiandae kisaikolojia juu ya hilo.
 
Leo ktk mkutano wa chadema kijiji kipya cha Nyabikurungu kata mpya ya Rukukuraijo wilaya ya Kyerwa jimbo la Kyerwa chadema imevuna wanachama 126 kutoka ccm. Hili limetokea kutokana na ubabe wa DIwani fisadi kufanya upendeleo ktk kura zao za maoni.

Hilo litaendelea,pamoja na kuwapiga picha wapigakura zao za maoni,huku kongowe Dsm mgombea waliyempitisha amehamia leo chadema,
na bado kitaeleweka tu
 
Hao watakuwa wahamiaji haramu.
 
Hilo litaendelea,pamoja na kuwapiga picha wapigakura zao za maoni,huku kongowe Dsm mgombea waliyempitisha amehamia leo chadema,
na bado kitaeleweka tu
Wapinzani hawawezi kupata hata theluthi ya mitaa kote nchini
 
Upinzani ni kipindupindu hasa chadema/ukawa

1380297_718684894879989_1077226299841015812_n.jpg

Poleni mkuu!
 
MH.Mdee tunaomba ufike pia jimbo la Nkenge uwafungue watu macho,wengi wamefanywa misukule
Huenda ukipita watu watafunguka.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom