Katiba ya Zanzibar hailazimishi kuwepo makamu wa kwanza wa rais

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Katiba ya zanzibar hakuna mahali inalazimisha kuwepo makamu wa kwanza wa raisi kama mashari yaliyopo hayakutimia kama vile chama kinachofuatia kutokuwa na kura za kutosha au kutokuwa na idadi kubwa ya wawakilishi kwenye baraza.
 
kweli kabisaa.....me mwenyewe nmeisoma nkagundua ilo, but walioitunga nao ivi walizani ktk kila uchaguzi ni lazima chama zaidi ya kimoja vitashinda viti vya uwakilishi?? Hawakuweka option ya kwamba kinaweza kikashinda chama kimoja 100% kama sasa??
yani ni bora tu kabla ya kuandika izo katiba serikali ziwe zinazileta humu tuwe tunazireview GT wa humu
 
Katiba ya zanzibar hakuna mahali inalazimisha kuwepo makamu wa kwanza wa raisi kama mashari yaliyopo hayakutimia kama vile chama kinachofuatia kutokuwa na kura za kutosha au kutokuwa na idadi kubwa ya wawakilishi kwenye baraza.
UNAOGOPA KIVULI CHAKO MWENYEWE POLE!
 
Muwe mnatumia akiri japo kidogo tu. Una Makamu wa PILI wa Rais then unataka kushawishi watu kwamba katiba hailazimishi kuwa na makamu wa KWANZA wa Rais?
 
Huyu kijana hivi huna kazi mkuu za kufanya unakera na thread zako za povu tupu
 
Back
Top Bottom