Katiba ya chenge na sitta laana mwili mzima

Katiba ya chenge na sitta laana mwili mzima

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2010
Posts
1,017
Reaction score
258
Ilianzakukataliwa na UKAWA wakadai wapinzani kazi yao kupinga kila kitu.

Waislamwaliakataa wakawapoza kwa change la macho la Pinda, Eti sheria itatambua hukumuza mahakama za kadhi, (Wamefunika Kombe)

Maaskofuwameandika walaka kupinga, wanadai walaka wao hauna upako.

Kubenuakaenda mahakamani, Tumeambiwa BMK lina mipaka na linapaswa kizingatia rasimu yakatiba iliyo wasilishwa, Sitta na Chenge wamebomoa msingi wa rasimu.

MwanasheriaMkuu wa Zanzibari kapiga chini vifungu Zaidi ya 20 vya katiba inayo pendekezwa,ameambulia kuzomewa na kutukanwa kuwa hafai.

Je baado hiini katiba ya Nchi?
 
Kakobe aliwafananisha watunga Katiba ya Chenge na wajenzi wa Mnara wa Baberi.
Hawaelewani kwa lugha moja tena! Wakilazimisha kuujenga vivyo hivyo Mnara wa namna hii hauwezi kusimama kamwe, lazima utaporomoka na kuwaponda kabisa wajenzi wapumbavuu hao!
 
Walidhani dunia imesimama inawangoja wao kitu ambacho si kweli
 
Back
Top Bottom