JACADUOGO2.
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 930
- 220
Hao watu wanaotaka katiba waambie kama wanataka kujiunga wajiunge tu, wasingoje katiba, kwa sababu maamuzi ya CHADEMA yanafanyika kimagumashi bila kufuata katiba, si umeona matawi yanafunguliwa nje ya nchi? hakuna sehemu kwenye katiba inaruhsu hilo jambo. Si umeona watu wanakatazwa kugombea uenyekiti kwasababu "they are from nowhere", hilo jambo halipo kwenye katiba etc
Chadema hichi Chama ni cha magumashi kimetumia miaka 50 lakini reli iliyowekwa na wakoloni hawajaiongeza hata kipande lazima 2015 chadema iondoke madarakani kwasababu imeshindwa kutumia government printers kuprint katiba yakeHao watu wanaotaka katiba waambie kama wanataka kujiunga wajiunge tu, wasingoje katiba, kwa sababu maamuzi ya CHADEMA yanafanyika kimagumashi bila kufuata katiba, si umeona matawi yanafunguliwa nje ya nchi? hakuna sehemu kwenye katiba inaruhsu hilo jambo. Si umeona watu wanakatazwa kugombea uenyekiti kwasababu "they are from nowhere", hilo jambo halipo kwenye katiba etc
Diwani mtarajiwa asiyetaka hata kujifunza namna ya kuwasiliana na chama anachotaka kukitumia kama chombo cha kupata nafasi ya kuwatumikia watu!!!!! Du!