Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Hata wakitumia vyombo vya habari,bado katiba pendekezwa ni kama unauza gunia la bangi. Magazeti kama,habarileo,jamboleo, uhuru,mzalendo nk wandishi wengi wa magazeti haya ni makajanja pamoja na TBC watu hawayasomi wala kusikiliza TBCCM