Ushamsikia mh akilizungumzia hata waziri wake? Ndo imetoka hiyo ikirudi pachaswala LA katiba mpya litafufuliwa lini?
Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu, hatuta waangusha, na nitazidi kutumbua majipu, mzidi kutuombeakwani magufuli katuambia tunakwenda wapi? hatuwezi kufika kwani hatujui tunapokwenda.
Ndio tatizo la kukariri, hakuna jipya kila siku na hyo hyo Tu. Tunataka mipango na namna ya utekelezaji sio sitawaangusha.Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu, hatuta waangusha, na nitazidi kutumbua majipu, mzidi kutuombea