CHEMPO JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 368 Reaction score 60 Jun 21, 2012 #1 Mimi kama mtanzania safi,,,napenda serekali ifanye sensa ya watanzania walioenda kwa babu wa loliondo.hii itasaidia serekali kukusanya kodi(paye)kwa mapato yote aliyopata babu,,,,,
Mimi kama mtanzania safi,,,napenda serekali ifanye sensa ya watanzania walioenda kwa babu wa loliondo.hii itasaidia serekali kukusanya kodi(paye)kwa mapato yote aliyopata babu,,,,,
A Aquous JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 292 Reaction score 86 Jun 21, 2012 #2 wazo zuri,je linatekelezeka??
CHEMPO JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 368 Reaction score 60 Jun 21, 2012 Thread starter #3 Si kila kundi linataka mambo yake kwnye uhesabuji wawatu...tume iongeze colum moja ya walioenda kwa babu
Si kila kundi linataka mambo yake kwnye uhesabuji wawatu...tume iongeze colum moja ya walioenda kwa babu
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,761 Jun 21, 2012 #4 chempo said: si kila kundi linataka mambo yake kwnye uhesabuji wawatu...tume iongeze colum moja ya walioenda kwa babu Click to expand... wamekusikia...message deriverd
chempo said: si kila kundi linataka mambo yake kwnye uhesabuji wawatu...tume iongeze colum moja ya walioenda kwa babu Click to expand... wamekusikia...message deriverd
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,498 Reaction score 3,390 Jun 21, 2012 #5 Bado ninasikia watu wanakwendaga tu! Hivi bado huduma ni ya kikombe tu ile iliyokuwa inasifiwa? Ama atakuwa ameboresha.
Bado ninasikia watu wanakwendaga tu! Hivi bado huduma ni ya kikombe tu ile iliyokuwa inasifiwa? Ama atakuwa ameboresha.
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,629 Jun 21, 2012 #6 Sasa wivu wa nini tena kwa nini usiombe wahesabu wanaoenda makanisani au misikitini? Anzisha dawa yako tuone kama utasema hivi. Binadamu weye hakuna mengine ya kusema ukamfikilia babu? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sasa wivu wa nini tena kwa nini usiombe wahesabu wanaoenda makanisani au misikitini? Anzisha dawa yako tuone kama utasema hivi. Binadamu weye hakuna mengine ya kusema ukamfikilia babu? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mkubwa ndevu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 1,043 Reaction score 358 Jun 21, 2012 #7 kazi ya kanisa hiyo