jino kwa jino
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 783
- 170
Tunataka katiba mpya ya wananchi wote sio maslahi ya CHADEMA. Hii nchi tuna uchungu nayo. Tutapambana mpaka kufa lakini Chadema haishiki madaraka nchi hii. Waende wakachunge ngo'mbe.

...CDM na CUF (CCM academia),nani katengeneza rasimu ya Katiba? Umoja wa maimam nao umetengeneza rasimu ya katiba!!! ushauri wangu;tafuta tofauti ya rasimu ya katiba kama ya CUF na katiba sifuri ambayo CDM wanatoa wito wananchi binafs au kuoitia vyama vyao vya kisiasa,kijamii watoe.
matatizo ya kusoma juzuuu sana hayo...lazima urukwe na akili!
Tunataka katiba mpya ya wananchi wote sio maslahi ya CHADEMA. Hii nchi tuna uchungu nayo. Tutapambana mpaka kufa lakini Chadema haishiki madaraka nchi hii. Waende wakachunge ngo'mbe.
Umetumwa................... MS in another nameTunataka katiba mpya ya wananchi wote sio maslahi ya CHADEMA. Hii nchi tuna uchungu nayo. Tutapambana mpaka kufa lakini Chadema haishiki madaraka nchi hii. Waende wakachunge ngo'mbe.
Wasio na busara hawatakiwi humu..................na ni kawaida yetu kuwakatisha tamaa hadi hapo watakapobadirika.................. na ikibidi ni kuwauwa kihoja tutafanya hivyo.................. na ukizidi MODS wataingilia katiwana JF mnatumia maneno MAKALI SANA, mtanikatisha tamaa ku-post hoja nyingine nzito
Administrators tafadhali anzisheni site nyingine ya Jamiiforums for KIDS.