Mdokezi2
Member
- Apr 4, 2014
- 70
- 5
Sote tunaelewa kwa kiwango fulani mwenendo wa mchakato wa uundwaji wa katiba mpya unaoendelea hivi sasa.
Swali nililo nalo kwenu wanajamvi na watanzana kwa ujumla.
Je, ni sahihi kuharakisha zoezi hili la uundwaji wa katiba kwa kisingizio cha kutaka katiba hiyo itumike ktk uchaguzi mkuu ujao?
Na je, kulifanyika utafiti wa kutosha na sahihi kuhusu timespan itakayotumika kukamilisha mchakato huu?