Wakuu salamu kwenu., nimekuwa nafuatilia kila mdahalo wa katiba uliopita ila kwa bahati mbaya naona nguli wa mambo ya katiba kaachwa najiuliza kwa nini waandaaji hawamualiki.? Mwenye taarifa anijuze
Kama mtu aliweza kukana machapisho yake mwenyewe,utamwalika aje azungumze kwa data za nani atakazozielewa?
xxm daima