Kuna haja ya kuweka serikali zaidi yamoja ? Huu si uhalibifu wa mali za uma na tamaa za madaraka, Haja ipi ambayo inasababisha hasa kuwepo kwa serikali zaidi ya moja ndani yanchi moja. Amini nawaambia kukosekana kwa uaminifu na kutojiamini kwa viongozi wetu kutapelekea uvunjifu wa amani tulionayo. Na Tanzania ni next target after Rwanda, hatujawahi shuhudia machafuko lakini tuendako hakuna usalama hata kidogo, sipendi kudanganya uma na kutoa hotuba za kwenye makaratasi bora tuambiane ukweli. Hali sio nzuri wajuaji wamekua wengi n majina machafu yanazidi kuongezeka na hakuna anaesema. Wamekaa kimyaa [emoji848][emoji848][emoji848]