Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,695
Wana JF
Kwa wote mnaofatilia bunge la katiba pamoja na mijadala iliyojitokeza haya mawili tu yanatosha kuwaangusha ccm mda si mrefu
1. MAHAKAMA YA KADHI
Hili swala limeshawaangusha ccm japo halijaonekana wazi lakini ukweli ni kwamba limeisha wagawa ccm (tayari) na hawawezi kukiruka kiunzi hiki
2.UKOMO WA UBUNGE
Kama ccm wakijiloga wenyewe wakaondoa ukomo wa ubunge. Hili ni kaburi tosha kwa ccm wananchi wameisha choka na wabunge wao na kitendo cha kutokuwa na ukomo angalau hata miaka 20. Wananchi hakika hawawezi kuvumilia na utakuwa ni ubabe wa hali juu..