India: kuna kipindi watu waligoma nchi nzima kuishinikiza serikali, sheria mpya ya kunyonga mafisadi.(Mgomo huu ulianzishwa na mzee wa miaka 70, ukaratibiwa barabara na vijana wa nchi nzima)
Hatimaye serikali iliipeleka mswada bungeni, ili wabunge waipitishe sheria ya kunyonga mafisadi.
Naamini Tanzania na sisi tukijipanga. Tunaweza kuilazimisha serikali, kupitisha sheria hii.
My take: kuwawajibisha viongozi pekee haitoshi. Adhabu inapaswa ifuate. Hatutaki waende jela, uko watakaa miezi michache afu watatoka (mfano kesi ya Liyumba). Kunyongwa ndo big solution kwa mafisadi. Ili kesho, fisadi wengine waliobaki watie maji nywele zao.