Katiba Mpya:Humphrey Polepole Live Chanel Ten

kintu

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
542
Reaction score
136
Humphrey Polepole yupo live Channel Ten akiichambua Rasimu ya BMK
1.Asema Mgombea Uhuru imewekewa masharti mengi ni sawa na hakuna.
2.Rais Kapewa Madaraka Mengi.
3.Wakuu wa Mikoa wamerudishwa na watateuliwa na Rais.
4.Pia Anachambua 50 kwa 50 , anasemea wanawake wasifurahi mapema kabla ya kujiridhisha na taratibu.
5....

Watu wamepiga simu, mmoja kutoka Zanzibar anasema kwa mzanzibari mwenye akiri timamu hawezi kuikuibali Rasimu ya BMK.
 
Huyu kijana hakika ni LULU iliyo njema sana katika Taifa ili. Zaidi tumombee kwa mwenyezi Mungu amlinde zidi ya MACCM yasije yaka MLIMBOKA.

over.


#BACK TANGANYIKA.
 
mm nadhani jina sahihi la hii katiba inayopendekezwa inafaa kuitwa Katiba ya CCM.
 

Polepole Ametoa mfano kuwa, kwa kilichofanywa na BMK kusema Zanzibari kupewa mamlaka ya kujiunga na jumuia za kimataifa na kujitafutia ni sawa na Baba mwenye watoto wawili alafu akesema mtoto mmoja ajitegemee kutafuta riziki yake wakati mmoja anabaki kumbatia na kumuudumia, alafu ukategemea wote wako sawa.
 
huyu kijana umashuhuri umemlewesha kama zzk. hajui hata anatetea nini. katiba ya warioba ni ya kuvunja nchi. kama kweli ndicho wanamapinduzi 1964 wanataka bora kugawana fito sasa sio kuleteana fujo. bara tunataka utulivu na maendeleo. hatuhitaji serikali tatu kwa muungano na zanzibar.
 

Kwa watu wote waliopiga simu wote wanaunga rasimu ya walioba na wengine wamesema wanawasubiri kwenye kura ndo wataona ni rasimu ipi imebeba maudhui na matakwa ya wananchi wacha BMK waendelee na NDIyooooo!
 

sema sihitaji serikali tatu! Nyie akili si mlisha ipeleka likizo,kuna watu wanaelewa badala yenu!
 
Kwa watu wote waliopiga simu wote wanaunga rasimu ya walioba na wengine wamesema wanawasubiri kwenye kura ndo wataona ni rasimu ipi imebeba maudhui na matakwa ya wananchi wacha BMK waendelee na NDIyooooo!

Siku zote wapiga kelele na watu wanaotembea front line ndo huwa wanshindwa.. Hao wanaopiga simu ni watu na akili zao, ila jaribu kupita kwa raia wa kawaida waliowengi utasikia watachokwambia.

Tusijidanganye, theluthi mbili ikipatikana tu mule ndani huku uraiani watashinda tu. CCM hawajawai kushindwa hao
 

Afadhali kumbe naww umeliona jambo hilo wenye mapenzi mema na Nch hii tuombe MUNGU upuuz wa 6 na GENGE lake uishie pale DOM lkn ikifika huku mtaani Ujue ndo vile,,,,!! Kwa uzoefu wangu wengi wanaojitambua huwa hawapigagi KURA wanajifanya wachambuzi wanaishia kwenye keyboard,,,!! so mi nadhani tuelekeze SALA zetu kwa jamaa wa znz lk huku BARA ni JANGA
 
Huyu polepole atuachie tumalize katiba yetu asitubugudhi.
 

Mkuu mi nilishapita uraiani nikajionea.. Huku JF na vyombo vya habari vinawafata wasomi tu.. Hao RAIA hiyo katiba ya zamani yenyewe hawaijui utawashawishi vipi wapige kura ya hapana?? Watakuona kama unawapotezea muda tu.. Na ndio maana hao CCM wamekua wajasiri kuendelea na bunge.
 

Wewe unatetea nini sasa?
 

Nahuo ndio mtaji mkubwa wa CCM miaka yote,,,!! nackitika sana,,!
 
polepole katisha binafisi naona madai yake ni kweli yeye na wenzie ndio waliotembea nchi nzima
 

Nchi ilisha vunjwa tangu Zanzibar walipotengeneza Katiba yao, sasa hivi pale Dodoma wanabariki tu uvunjaji huo ili Zanzibar ianze kujitegemea rasmi. Inakuwaje Rais wa JMT awe na mamlaka kamili kwa kuweza kufanya chochote Tanganyika lakini akifika Zanzibar Mamlaka yake yanaishia angani, akitua anamkuta anakuwa mgeni kama anavyokwenda nchi za nje!
 
Hivi wewe, umemsikiliza Polepole vizuri na hoja zake ukazielewa au unaropoka. Kama mtu anatoa hoja zinazompa umashuhuri kosa liko wapi? kwa nini usijibu hoja zake na badala yaek useme kalewa umashuhuri? Hivi, kila atakayekuwa na fikra mbadala zinazokinzana na "status quo" ni wa kulinganishwa na "msaliti" ZZK. Watanzania tujifunze kufikiri na kujenga hoja kama Polepole. huyu jamaa ni mfano wa kuigwa na vijana wa TZ na ulimwenguni mote.

we kalaga baho!
 

MBWEMBWE,usiseme hatuhitaj serikal3,sema sitaki serikal3 maana sura hiyo kuwepo kwenye katiba ni maoni ya watanzania,epuka generalization penda individuality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…