Katiba Mpya: Clouds FM Wachochezi!

Clouds ni chombo cha CCM, huko Dodoma wapo huyo PJ na mtu anaitwa Simalenga. Huyu simalenga nilishamwona kwenye Generali on Monday Channel Ten anatetea muundo wa serikali mbili nguvu kweli kweli, na hisi na yeye ni CCM pia.
 
U have lost your objectivity hata kibonge na jahazi wote kama hoja ya uzalendo ni kuishabikia ccm ........ very misdirected viva radio one for presenting the facts as it is
 
Mimi hilo li clouds radio na tv, naliona kama kichaka tu.Hasa huyu mtu anaitwa Kibonde, Hando wanakera sana.lakini wajue hata wateja wanapungua sana kwao sababu ya ujinga wao wa kujiingiza ktk siasa.Hongera sana radio one na itv kwa kufanya kazi ki eledi
 
U have lost your objectivity hata kibonge na jahazi wote kama hoja ya uzalendo ni kuishabikia ccm ........ very misdirected viva radio one for presenting the facts as it is

Radio One is my best radio in TZ.
 
Redio ya mipasho hiyo mkuu nilishaigomea ka tbc siku nyingi tu
 
Bahati mbaya sana inasikilizwa na watu wengi mno!
 
Hongereni IPP Media(Radio one & ITV) Huku uraiani wananchi tunawakubali sana kwa kufanya kazi kwa Weledi.

Watu makini wote vyanzo vyao vya habari kupitia radio na Tv ni Radio one na ITV.
 
Hongereni IPP Media(Radio one & ITV) Huku uraiani wananchi tunawakubali sana kwa kufanya kazi kwa Weledi.

Watu makini wote vyanzo vyao vya habari kupitia radio na Tv ni Radio one na ITV.

Niko nasikiliza kipindi Radio One cha mazungumzo ya asubuhi. Wanahoji viongozi, wameanza na Tundu Lissu, na maswali yao siyo Leading ni ya kitaalamu kabisa. Na hapo bado wataita upande wa pili wa shilingi na serikali. Bigup!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…