MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,510
- 6,607
Hao jamaa wamegeuka kuwa chombo cha habari na propaganda za CCM...kwenye Tv yao ndani ya King`amuzi cha Azam huwa napita nikiwa nashuka chini kutazama Sentanta Tv yangu.
Nikakuta wameanzisha kitu wanaita Uzalendo Kwanza sijui nini niniiiii....jamaa anaongea nyuma background ni bendera ya Tanzania,anasema rangi ya blue ktk bendera ni bahari inayotuunganisha Tz Bara na Visiwani ili kuuimarisha Muungano.(Upotoshaji mkubwa,anasahau hiyo blue hata ziwa Rukwa inawakilishwa nayo)
Wanatumika kubeba hoja ya Serikali mbili,wanatumika kuua hoja ya serikali tatu na Mamlaka kamili ya Znz,wanapotosha watu juu ya kuidai Tanganyika itambulike.
Huyo PJ ni mzee fulani anayetumika bila kujijua....wasamehe bure,hata shule zao vichwani ni za mashaka,ni lazma wajipendekeze ili wabaki mjini

Una maanisha anashinda mamtoni, anakwea pipa kama anapanda daladala za mwenge posta vile.Amuulize Arap Sang wa kenya mwanahabari kama yeye leo anashinda huko badala ya kukaa na familia yake.
Hakuna cha ajabu hapo. PJ ni kama wa ccm, alijitosa ubunge kura za maoni jimbo la Kawe, kura hazikutosha kwani alitanguliwa na Kina Kipi Warioba, Angela Kiziga, Adamjee na wengine. Pengine kwa kupotosha umma kupitia redio yao hiyo, anadhani 2015 kura za maoni zitamtosha.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kumbe amewahi kujitosa kugombea ubunge....!!Hakuna cha ajabu hapo. PJ ni kama wa ccm, alijitosa ubunge kura za maoni jimbo la Kawe, kura hazikutosha kwani alitanguliwa na Kina Kipi Warioba, Angela Kiziga, Adamjee na wengine. Pengine kwa kupotosha umma kupitia redio yao hiyo, anadhani 2015 kura za maoni zitamtosha.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Una maanisha anashinda mamtoni, anakwea pipa kama anapanda daladala za mwenge posta vile.
Naamin kama TCRA wapo makin watawahoji,moja ya mistari ya PJ ile inayosema kuna njama za kuifanya tanzania isitawalike baada ya kuvuruga mchakato wa katiba,,,,kumepangwa kufanyika machafuko pande zote za nchi hii,binafsi nilishtuka
Kuna mmoja huwa anaongea kama vile ni mpishi wa jk ana kiherehere kuliko hata hao mashaitwan wenyewe!Hao ni ma-agent wa CCM hivyo usiumize kichwa.
Ni redio ya wapenzi wa jinsia moja, kama si mmoja wao unatafuta nini huko?
Habari za asubuhi wadau. Asubuhi ya Leo Nimesikia taarifa maalumu ya mtu anayeitwa PJ, wa Clouds FM, akiitoa kuhusu vikao vya bunge maalumu huko Dodoma. Taarifa ile ilikuwa ikiwaambia wananchi kile kinachoendelea huko na kuwapa taadhari kuwa kuna kikundi kimejiandaa kuvunja bunge hilo. Huku pia akisema kuwa kuna mjumbe mmoja ambaye ni kiongozi wa juu kabisa wa chama cha upinzani aliteuliwa kuingia kwenye kamati ya uongozi lakini kwa sababu 'anazozijua mwenyewe' akajitoa.
Tatizo langu hapa ni namna ya uwasilishaji wa taarifa hiyo. Haijafuata uelewe wa habari kwani haikuwa na FACTS kama taaluma ya habari inavyotaka. Ilikuwa haina vithibitisho vya hizo njama, au kuwapa wasikiliazi fursa ya kusikiliza kile kilichotokea katika bunge hilo.
Mimi naona huu ni UCHOCHEZI ambao ni hatari kwa taifa na unalenga kujenga chuki miongoni mwa jamii. Mamlaka inayohusika na vyombo vya habari inabidi kuingilia kati na kutoa adhabu stahiki kwa vyombo vya habari vya namna hii. La sivyo vitatufikisha katika hali mbaya na kuhatarisha amani ya nchi.
God bless us
Hoja ipi inayopingwa hapa. Watu wanajadili usahihi wa taarifa na jinsi ilivyowasilishwaJifunzeni kusikia hoja mbadala wa zile mnazopenda kusikia. Sio kila mtu aliye na mawazo tofauti na yale mnayoyapenda, hana akili.