Shida inakuja sehemu moja tu! Mchakato wa upatikanaji wa huyo DPP ukoje? Kama anateuliwa na Mwenyekiti wa ccm, basi utambue fika ana mamlaka ya kumwagiza.
Samia aliwahi kusema katiba na kakijitabu tu ambako unaweza kukichanachana na kukitupa jalalani.Mhimili wa serikali unazichanachana mihimili mwingine maana haijitambui
GENGE HATARI LA RAIA FEKI WA KIARABU NDIYO LIMESHIKA SERIKALI ...STATE CAPTURE.....Tazameni hii video na picha ya huyo muarabu ....mnapo wasikia mashekh wakitetea wapumbavu msidhani ni Samia tu aliye nyuma yao ...hao mashekh wanapokea fedha kwa ili genge la JAMBAZI NA FISADI ROSTAM AZIZI ...