Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 3,862
- 4,090
Wasalamu,
Hivi karibu siasa za sukari zimeiteka nchi yetu. Eti kuna uhaba mkubwa wa sukari,wananchi watateseka kwa kukosa sukari.
Huu ni upuuzi,matumizi ya sukari sio kitu cha lazima ktk maisha ya mtanzania.
Kama umekulia kijijini utaelewa hii hoja,mkulima wa ruangwa,madaba, bahi,mpunguzi akikosa sukari atakufa? Sukari ni bidhaa ya anasa tu,kama tumekubaliana kubana matumizi tuachane na hii kasumba ya sukari,tuwaachie giant consumers tu..
Chumvi ndio mpango mzima.