medical làbje clinical na medical lab?
Huo ni mtizamo wako ndugu,sio lazima ndio iwe uhalisiahakuna kozi ya afya kwa level ya diploma nzuri kuliko clinical medicine
Mkuu hivi hilo jibu lako Clinical ni Pana Mbona Huwa halikauki kwako afu Kwann usijibu swali unaishia kuuliza swali km huwezi acha wenye kujua wajibu!!! Sasa Clinical Ni Pana Ndio nn??clinical ni pana
Kasome clinical dentistry
je clinical na medical lab?
Soma phamacy kijana
Mkuu avatar yako nimeielewa
Narud kwenye swali iko hv
Kwanza kabisa kwa ngazi ta diploma clinical medicine sio nzur kama umepanga ukitoka shule tu uajiriwe ie ukimaliza diploma
Kwa sababu kubwa now dayz hasa hospital kubwa iwe either private au govnment hawaajiri hawa clinical officers
Pharmacy na medical lab ndo habar ya mjin coz unaweza ukafanya kaz sehemu level yeyote ya hospital
Ataishia kuwa dispenser ..halafu ajira serikalin uwaga wanaachwa
Mimi naona hospital nyingi hasa private wanapenda sana kuwaajiri maCO kwa sababu ni rahisi kumlipa CO kuliko MD