Kikawaida mtk na sd zikiwa na nguvu sawa chagua sd sababu zipo more optimized, drivers za uhakika na mambo mengi mazuri.
Ila kuna wakati unakuta at same price point Mtk inakuwa na nguvu sana kuliko competition kama hii situation ya Redmi 9, inauzwa 280k Tigoshop, Hakuna simu yoyote Duniani mpya itakupa Value zaidi kwa hii pricepoint.
Equivalent ya helio G80 ni snapdragon 660/665/662 na simu zake mpya ni kama hio redmi 9T ambayo inapatikana kama 50,000 zaidi.
mkuu nahitaji kunununua redmi note 10 pro kwa kutumia avechi....upande wa manunuz unanipa shida kidg na nataka ninunue leo kesho ama jumamos niipate...msaada tutani
mkuu nahitaji kunununua redmi note 10 pro kwa kutumia avechi....upande wa manunuz unanipa shida kidg na nataka ninunue leo kesho ama jumamos niipate...msaada tutani