B Bongemzito Senior Member Nov 5, 2010 162 19 Nov 24, 2010 #1 Ningependa kujua Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaid
bacha JF-Expert Member Aug 19, 2010 4,282 797 Nov 24, 2010 #2 Bongemzito said: Ningependa kujua Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaid Click to expand... kabla hujampenda mwenzio, jipende wewe kwanza!!!!!!!!
Bongemzito said: Ningependa kujua Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaid Click to expand... kabla hujampenda mwenzio, jipende wewe kwanza!!!!!!!!
F Ferds JF-Expert Member Oct 27, 2010 1,263 191 Nov 24, 2010 #3 Bongemzito said: Ningependa kujua Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaid Click to expand... huyu mgeni cmshangai hata kidogo
Bongemzito said: Ningependa kujua Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaid Click to expand... huyu mgeni cmshangai hata kidogo
Zneba Senior Member May 12, 2010 192 7 Nov 24, 2010 #4 Ferds said: huyu mgeni cmshangai hata kidogo Click to expand... hahahahah ni mgeni kwani?nini ambacho hujaelewa apo f
Ferds said: huyu mgeni cmshangai hata kidogo Click to expand... hahahahah ni mgeni kwani?nini ambacho hujaelewa apo f
Konakali JF-Expert Member Dec 15, 2009 1,533 263 Nov 24, 2010 #5 Bongemzito said: Ningependa kujua Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaid Click to expand... Wewe ni bonge mzito....!, halafu haya mambo huyajui? Kila mmoja anapaswa kumpenda mwenzie sawasawa na jinsi naye anavyopendwa...! Lakini ogopa kupenda bila kupendwa....!
Bongemzito said: Ningependa kujua Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaid Click to expand... Wewe ni bonge mzito....!, halafu haya mambo huyajui? Kila mmoja anapaswa kumpenda mwenzie sawasawa na jinsi naye anavyopendwa...! Lakini ogopa kupenda bila kupendwa....!
B Bongemzito Senior Member Nov 5, 2010 162 19 Nov 24, 2010 Thread starter #6 Mwasu said: hahahahah ni mgeni kwani?nini ambacho hujaelewa apo f Click to expand... Nashukuru sana kwa kunisaidia kumjibu maana kuna watu wanatubagua sana sisi wageni kwenye hili jukwaa...haipendezi.
Mwasu said: hahahahah ni mgeni kwani?nini ambacho hujaelewa apo f Click to expand... Nashukuru sana kwa kunisaidia kumjibu maana kuna watu wanatubagua sana sisi wageni kwenye hili jukwaa...haipendezi.
M Miss Pirate JF-Expert Member Oct 27, 2010 305 74 Nov 24, 2010 #7 Bongemzito said: Ningependa kujua Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaid Click to expand... Kama moyo wa mtu mmoja umemwangukia vilivyo mwengine basi wote tuna upendo sawa. Hujapenda wewe ndiyo maana unauliza swali hili
Bongemzito said: Ningependa kujua Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaid Click to expand... Kama moyo wa mtu mmoja umemwangukia vilivyo mwengine basi wote tuna upendo sawa. Hujapenda wewe ndiyo maana unauliza swali hili
T Tunga Member Nov 22, 2010 73 0 Nov 24, 2010 #8 dada zetu siku zote ndio hupenda zaidi sisi vidume ni wazee wa ku hit and then run away...................................
dada zetu siku zote ndio hupenda zaidi sisi vidume ni wazee wa ku hit and then run away...................................
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,193 Nov 24, 2010 #9 Itategemea, inawezekana mwanaume akampenda zaidi mwanamke au mwanamke akapenda zaidi mwanaume. Yote kwa yote upendo hauwezi kulingana.
Itategemea, inawezekana mwanaume akampenda zaidi mwanamke au mwanamke akapenda zaidi mwanaume. Yote kwa yote upendo hauwezi kulingana.