Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaidi!!

Ningependa kujua Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaid
Wewe ni bonge mzito....!, halafu haya mambo huyajui? Kila mmoja anapaswa kumpenda mwenzie sawasawa na jinsi naye anavyopendwa...! Lakini ogopa kupenda bila kupendwa....!
 
dada zetu siku zote ndio hupenda zaidi sisi vidume ni wazee wa ku hit and then run away...................................
 
Itategemea, inawezekana mwanaume akampenda zaidi mwanamke au mwanamke akapenda zaidi mwanaume.
Yote kwa yote upendo hauwezi kulingana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom