Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Kati ya mwanamke msomi na asiye msomi yupi sahihi kumuoa.
Kwakweli mimi naona ni heri mwanamke asiyesoma hawa waliosoma ni wasumbufu sana na wanajifanya wanajuwa kila kitu na ndio maana hata ndoa zao hazidumu