Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 782
Tunataka tujue ni nani msababishi mkubwa wa mwenzie, yaani apatikane mmoja anaeongoza kwa kusababisha ili tujikite kutafuta suluhu.Inategemea.. Mume anaweza sababisha au mke anaweza sababisha
Karibu mkuu unaweza kuokoa jahazi.
Serious, karibu.Hivi uko serious kweli?!!!!
Sema usikike mkuu.Sijui niseme!
Ndiyo pamoja na hayo kwani mengine ni majukumu yaliyopangwa na muumba kua huyu atafanya hili na yule atafanya lile, hapa kinachotafutwa ni wahusika wa kusababisha wenza wao kutangulia, mfano ugomvi, magonjwa, stres na mengineyo mengi tupe uzoefu wako.Wacha niseme, katika kuhangaikia familia nyumbani baba hutoka kwenda kutafuta ili mke amlidhishe (amflahishe),huenda machimboni, mapolini, mijini, na nk huko kote hukumbana na mikasa hatimaye mauti.
Mwanamke baba nanilii njoo utusaidie kuna nyoka, baba anakuja anaokota fimbo kuanza kupambana nanyoka masikini anakosea kidogo nyoka anamgonga (Black mamba) anakufa.
Mume anamfuma mke wake akiwa na lijamaa, wanaanza kupambana bahati mbaya anazidiwa anapigwa pabaya anakufa.
Wanaume huongoza kufa zaidi ya wanawake.
Hapa sijui husababisha nani!
Mh! Inawezekana eti?Wanaume hujisababishia vifo vyao wenyewe kwakweli.