Kati ya Comfy au Tanfoam

Kati ya Comfy au Tanfoam

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,710
Reaction score
1,963
Wakuu habari za wakati huu

Ningependa kujua kati ya kampuni tajwa hapo juu, ni kampuni gani ambayo hutoa magodoro mazuri na yenye ubora, ambayo ukinunua hutajutia hela yako(Nikimaanisha sio rahisi kuchakaa ndani ya muda mfupi na kuweka shimo katikati)

Ukubwa ninahoitaji ni 4×6*8 au 4×6×6

Ningependa nijue na bei tafadhali kwa wanaofahamu

Ahsanteni
 
Habari za leo?
Nahitaji bei za magodoro halisi [original] ya TANFOAM Arusha ya vipimo hivi:

5'(futi)×6'(futi)×6"(inchi)
41/2'×6'×6"
4'×6'×6"
 
Wakuu habari za wakati huu

Ningependa kujua kati ya kampuni tajwa hapo juu, ni kampuni gani ambayo hutoa magodoro mazuri na yenye ubora, ambayo ukinunua hutajutia hela yako(Nikimaanisha sio rahisi kuchakaa ndani ya muda mfupi na kuweka shimo katikati)

Ukubwa ninahoitaji ni 4×6*8 au 4×6×6

Ningependa nijue na bei tafadhali kwa wanaofahamu

Ahsanteni
Karibu .kama jina langu linavojieleza
 
Back
Top Bottom