Kati ya certificate of pharmaceutical na certificate of medicine ipi kozi nzuri kwenye ajira ?

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
616
Kati ya hizi kozi mbili IPI ni nzuri kuajiriwa ,kujiajiri na nyepesi kuajiriwa hata serikalini ?
Ufaulu wangu.

Physics=C
Chemistry=C
Biology=D
Civics=B
English=C
Geography=D
History=D
Kiswahili=D
Math=F

Division 3=23

Kati ya kozi hizi mbili nichague IPI?
 
certificate ya medicine (CA) ipo hatarini kufutwa, nashauri afanye certificate ya nursing
 
certificate ya medicine (CA) ipo hatarini kufutwa, nashauri afanye certificate ya nursing
Mkuu kufatana chuo ninacho taka kusoma kina kozi hizo mbili maana nataka nisome huku naendelea na kazi maana chuo kipo jirani sana tu na kazini naingia usiku Mara mbili kwa wiki au Mara mda wa asubuhi mpaka jioni nipo free tu
 
Back
Top Bottom