wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,390
wana jf.
nimekuwa na hoja na mtizamo tofauti kuhusu suala usafiri kati ya mwanafunzi na mwanajeshi\askari.
mwanafunzi analipa nauli nusu endapo akiwa na kitambulisho au akiwa amevaa sare.
mwanajeshi/askari halipi nauli akiwa amevaa sare. na hulipa wakiwa hawajavaa sare.
je. huu utamaduni wa enzi za vita vya uganda. upo kisheria?.
je ni ubabe na udikteta wa jeshi/serikali?... je ni haki?
kwa mtizamo wangu, wanafunzi wapande bure pasipo kulipa nauli na wanajeshi walipe kama abiria wengne.
mwanafunzi hana
msharahara/kipato chochote analipa nauli lkn mwanajeshi halipi japo anakipato.... hii haipo sawa.
wanafunzi wakisafiri bure itasaidia familia maskini, na kuongeza maudhurio mashuleni...