Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 308
- 424
Polepole anasema Tanzania haina uhuru wa habari, sheria hizi👇zilipitishwa yeye akiwa Mbunge na Katibu wa Itifaki na uenezi, na hakuwahi kusema kitu.
1. The Media Services Act (2016)
2. The Media Services Act (2016)
3. Statistics Act (2015)
4. Access to Information Act (2015)
Vyombo vya habari vilifungwa kati ya 2016-2021 na yeye hakusema kitu akiwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM na hakusema kitu.
1. Tanzania Daima
2. Mawio
3. Mseto
4. Uhuru
5. Radio Swahiba
6. Mwanahalisi
Polepole anazungumzia kuhusu uhuru wa habari, anasema hivi sasa Tanzania haina uhuru wa habari.
Wakati wa jiwe, Tanzania katika viwango vya uhuru wa habari kimataifa iliporomoka vibaya mno, katika namna ambayo haijawahi kutokea kwenye taifa letu.
Kwa mujibu wa 'Reporters without borders' Tanzania ilishuka kutoka nafasi ya 71 mwaka 2016, hadi 124 mwaka 2021 kati ya nchi 180.
Leo anazungumzia kufungiwa kwa Jamii Forums, Polepole ni kilaza. Sisemi kwamba kufungiwa kwa Jamii Forums ni sawa, bali Polepole hana moral authority ya kuzungumzia juu ya uhuru wa habari kwa sababu, wakati wa JPM Polepole alipitia misukosuko mingi sana, na bado hakuwahi kusema kitu.
Amesahau Kabendera aliteswa bila hatia kwa miezi 7 mfululizo kwa mashtaka ya kutengeneza, Polepole alikuwa wapi?
2020 pekee vyombo ya habari zaidi ya 10 vilipigwa faini na onyo kali.
Polepole ni mnafiki na haitaji kupewa muda kusikilizwa hata kidogo.