Katendwa ndo ananiona wa maana

Pole we! Mapenzi ndo yalivyo!! Hata usimkubali uwe na msimamo binti!
 

Hayatuhusu. This is your private business.
 
yaani mwsmbie hv km anataka mwende kanisani sio akupotezee muda tena
 
Mpokee huyo...kashapata somo..!!
Sahivi anaweza kutofautisha mbwa na mbwa mwitu...
Ole wako umuache ukawafate wengne...ambao bado hawawez tofautisha...next time utatuambia uli faint na kuwa kwenye coma..!!
 
yangu mimi dem almkubali rafiki yangu wa karibu akawa bwana ake baada ya kutoswa akarudi turudiane ........ Akafe mbele......
 
Humu ndani kuna watu wana machungu ya kurukwa mara kadhaa na kuachwa. Watu wana hasira zao wanakuja kupunguzia stress huku. Ushauri wangu, mkubalie jamaa ila usirudishe miguu yote miwili na usikubali awe anakut.omba ovyo ovyo. Unatakiwa kumfanya aone umuhimu wa yeye kukuweka wewe ndani! Muôneshe upendo wa kutosha kama unaona anafaa kuwa you husband ili avutiwe zaidi na zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…