Kata zilizoko wazi mpaka leo!

kata ya Mtetele Manispaa ya Songea, diwani alikufa.
Niwajuze pia Kijiji cha Liwete kimefanya uchaguzi wa Mwenyekiti, cdm imechukua.Think deeply if villagers now have realized to know their rights,do they still alive up to 2015
 
1. Sombetini - Arusha.
2. Sengerema - Tabasamu.
3. Buchosa - Tzeba.
4. Iringa - Alijinyonga diwani wa Magamba.
5. Ongeza kata zingine!


Kaloleni- ARUSHA MJINI
Elererai-Arusha Mjini
Kaloleni-Arusha Mjini
Temi- Arusha Mjini
Daraja Mbili - Arusha mjini( Alifariki)
Bangata -Arumeru Magharibi (Amefariki juzi wiki ka mbili zimepita)
Seela- Arumeru Mashariki ( alijiuzulu mara baada ya nasari kushinda ubunge aliweka hilo agano nasari akishinda)
Makiba ( Arumeru Mashariki( amejiuzulu juzi)
 
Kata ya Bugarama Kahama diwani wa magamba alifariki mwaka jana. Hiyo kata magamba wasahau watu wana hasira nao sana
 
Hebu mwana JF makini; mtoa hoja a-compile full list ya Majimbo na kata zilizo wazi!!
 
Kata ya ngonga kyela diwani alifungwa mwaka1 kwa kuvamia na kulima shamba la mtu,. Hapo imekaaje waku kisheria
 
1. Kaloleni- ARUSHA MJINI
2. Elererai-Arusha Mjini
3. Kaloleni-Arusha Mjini
4. Temi- Arusha Mjini
5. Daraja Mbili - Arusha mjini( Alifariki)
6. Bangata -Arumeru Magharibi (Amefariki juzi wiki ka mbili zimepita)
7. Seela- Arumeru Mashariki ( alijiuzulu mara baada ya nasari kushinda ubunge aliweka hilo agano nasari akishinda
8. Makiba ( Arumeru Mashariki( amejiuzulu juzi)
9. Sengerema - Tabasamu.
10. Buchosa - Tzeba.
11. Iringa - Alijinyonga diwani wa Magamba.
12. Kata ya mletele songea diwani alifariki
13. kata ya Mtetele Manispaa ya Songea, diwani alikufa.
14. Kata ya Bugarama Kahama diwani wa magamba alifariki.
15. MBUNGE WA MBARALI KAHUKUMIWA KIFUNGO; Je!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna m1 pale rombo, nadhani ni kata ya tarakea(kama kuna masahihisho nipo tayari) jina limenitoka, ila almaarufu kama MNENEE,alikuwa wa chadema. Alijiuzulu kwa shinikizo la serekali ya magamba. Huyu bwana ni mfanyabiashara. Mwaka jana baada ya serekali kupiga marufuku kuuza mahindi nje ya nchi, huyu bwana magari yake mawili aina ya fuso "tandam" yakiwa na tani 32 za mahindi yalikamatwa na polisi....akaambiwa, chagua 1, magari yako na mahindi yako au ujiuzulu udiwani. Akaamua kujiuzulu.
 
Kuna kata nyingine ya Mpwapwa mjini diwani wake alikuwa wa ccm alifariki huko India alikokwenda kwa matibabu jina la diwani aliyefariki nimelisahau.
 
Udiwani KATAya:
1. Kaloleni- Arusha mjini
2. Elererai-Arusha Mjini
3. Kaloleni-Arusha Mjini
4. Temi- Arusha Mjini
5. Daraja Mbili - Arusha mjini( Alifariki)
6. Bangata -Arumeru Magharibi (alifariki)
7. Seela- Arumeru Mashariki (alijiuzulu)
8. Makiba - Arumeru Mashariki (alijiuzulu)
9. Nyampulukano - Sengerema (alijiuzulu)
10. Lugata - Sengerema
11. --- Iringa – (alijinyonga baada ya kutapeliwa)
12. Myovizi -Mbozi mashariki (alifariki)
13. Mtetele Manispaa ya Songea, diwani alikufa.
14. Bugarama - Kahama (diwani alifariki)

15. Lwenzera-Geita diwani Anatori Mkufu.
16. Mpapa-kamsamba mbozi magh
17. --- Kilema Kusini (alifariki)

18. Mpwapwa Mjini (alifariki)
19. --- - Nzega (alifariki)
20. ------Kyela (amefungwa)
21.
22.

UBUNGE Jimbola:
1. Mbarari - (Alihukumiwa kifungi jela)
2.
3.
 
Udiwani KATAya:
1. Kaloleni- Arusha mjini
2. Elererai-Arusha Mjini
3. Kaloleni-Arusha Mjini
4. Temi- Arusha Mjini
5. Daraja Mbili - Arusha mjini( Alifariki)
6. Bangata -Arumeru Magharibi (alifariki)
7. Seela- Arumeru Mashariki (alijiuzulu)
8. Makiba - Arumeru Mashariki (alijiuzulu)
9. Nyampulukano - Sengerema (alijiuzulu)
10. Lugata - Sengerema
11. --- Iringa – (alijinyonga baada ya kutapeliwa)
12. Myovizi -Mbozi mashariki (alifariki)
13. Mtetele Manispaa ya Songea, diwani alikufa.
14. Bugarama - Kahama (diwani alifariki)

15. Lwenzera-Geita diwani Anatori Mkufu.
16. Mpapa-kamsamba mbozi magh
17. --- Kilema Kusini (alifariki)

18. Mpwapwa Mjini (alifariki)
19. --- - Nzega (alifariki)
20. ------Kyela (amefungwa)
21.
22.

UBUNGE Jimbola:
1. Mbarari - (Alihukumiwa kifungi jela)
2.
3.

Heshima yako mkuu kwa kuzipanga kwa umakini mkubwa sana!
 
Back
Top Bottom